Album

TanzaniaMpya

"Repost By @jmakamba2015: "Albino killings is a big shame. We must not tolerate this cruelty and animism. We must hunt down the perpetrators and bring them to book. Tougher punishment is in order but we have to first make it easier for perpetrators to get caught. Public education also key. Perpetrators live amongst us. A reward scheme and witness protection for those who reveal them could work. Effective policing (security) too. This is a law and order issue (criminality) and also deeper social issue - widespread belief in witchcraft. Must tackle both. **************************************************************** Mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, yaani albino, ni ukatili usio na mfano. Serikali haipaswi kuwa na huruma katika kuwasaka na kuwaadhibu wanaofanya vitendo hivi. Ni muhimu pia kuweka utaratibu wa kuwalinda wenye ulemavu wa ngozi dhidi ya tishio la kutekwa na kuuwawa. Elimu kwa umma ni muhimu. Wanaofanya haya matendo wapo ndani ya jamii yetu. Tuweke utaratibu wa malipo kwa wasamaria wema wanaotoa habari kuhusu wahusika wa biashara ya viungo vya binadamu. Na tuweke utaratibu wa kuwalinda watoa habari. Hili ni tatizo la kisheria lakini pia ni tatizo la imani kubwa za ushirikina na uchawi ndani ya jamii. Ni lazima kuyakabili mambo haya mawili kwa pamoja. TanzaniaMpya @TanzaniaMpya StopAlbinoKillings (photo credit: NatGeo)" (via RapidRepost @AppsKottage)" via @PhotoRepost_app . AlbinoLivesMatters LetTheWorldSeeWhereTanzaniaIsGoing PlsRepost PlsRepost